M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 17,047 Reaction score 63,206 Nov 6, 2025 #1 Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu. Msikilize hapa. View: https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu. Msikilize hapa. View: https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Nov 6, 2025 #2 Dawa ya wauaji ni ICC tu
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Nov 6, 2025 #3 Anatueleza sisi tulio kua Tunasguhudia? Au anawaeleza wazungu
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Nov 6, 2025 #4 The mission 2017 said: Anatueleza sisi tulio kua Tunasguhudia? Au anawaeleza wazungu Click to expand... ni vizuri maandamano yanayofuata nayeye akawepo nchini ayaongoze, sio ajifichie huko alipo ahamasishe wenziwe tu.
The mission 2017 said: Anatueleza sisi tulio kua Tunasguhudia? Au anawaeleza wazungu Click to expand... ni vizuri maandamano yanayofuata nayeye akawepo nchini ayaongoze, sio ajifichie huko alipo ahamasishe wenziwe tu.