Maria Sarungi ananinyima Usingizi

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
3,151
Reaction score
6,261
Wana Jamvi kwema humu huyu mlibwende Au kama anavyojioambanua mwenyewe kama Activist kiukweli ananinyima usingizi kabisa, Nataka nijitose nipeleke Posa kwao wakuu, Nipeni data za huyu bibie. Maria Sarungi kama upo jamvini humu njoo PM please tuyajenge
 
Samahani, Maria ndo yupi hapo katika hizo picha mbili ulizoweka juu? Hata hivyo mbona hao ni watu wazima sana, kwa muonekano wao umri wao unakaribia au wana miaka 50. Na pia wana pete vidoleni mwao maana yake wapo katika ndoa hao.
 
Dolari za kutosha kisha ticket SA au Dubai unamaliza mchezo
 
Fatma Karume picha hazionyeshi uzuri wake vizuri na mishe za uana harakati sijui
She is way too beautiful in person na akiwa ametulia hivi.,
Nlimuona siku moja we were like whaaatt....ni mzuri sana

Maria sijawahi muona live
 
Huyu shangazi tulisafiri naye last month, anaongea kama chiriku, na hachoki mwanzo mwisho wa safari
Fatma Karume picha hazionyeshi uzuri wake vizuri na mishe za uana harakati sijui
She is way too beautiful in person na akiwa ametulia hivi.,
Nlimuona siku moja we were like whaaatt....ni mzuri sana

Maria sijawahi muona live
 
Namsikia akisema anakwenda Ethiopia kwa wakwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…