Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niko singoTena tulia tuli kabisa kama maji ya mtungini ukisubiri kunyweka, unajua Trouble maker anakuchabo tu hapa na anaweza kukutaliki ghafla ghafla tu? [emoji87]
Fatma Karume picha hazionyeshi uzuri wake vizuri na mishe za uana harakati sijui
She is way too beautiful in person na akiwa ametulia hivi.,
Nlimuona siku moja we were like whaaatt....ni mzuri sana
Maria sijawahi muona live
Mimi niko singo
Ni kugonga tu. Siku hizi hakuna cha mke wa mtu,ni kunyang'anyana tuSamahani, Maria ndo yupi hapo katika hizo picha mbili ulizoweka juu? Hata hivyo mbona hao ni watu wazima sana, kwa muonekano wao umri wao unakaribia au wana miaka 50. Na pia wana pete vidoleni mwao maana yake wapo katika ndoa hao.
Wacha weeeeHakufikii wewe
Weka namba au aje PM?,Mi nampenda sana Fatma aka shangazi sijui nafanyaje nimpate aisee km anaona huu uzy anitafute
Duh that must be exhausting...Huyu shangazi tulisafiri naye last month, anaongea kama chiriku, na hachoki mwanzo mwisho wa safari
Mh Mkuu namba kuweka humu noma aje PM jmn mwambieni tuyajenge na nadhani atanielewa tu,I like her swagz confidenceWeka namba au aje PM?,
Duh that must be exhausting...
Huwa nachoka kuongea mda mrefu na kwa sauti ya juu
Kama wewe na mlevimmoja au sioKila MTU na Mtue
NdiwoooKweliiiiii...??? [emoji28]