Maria Sarungi ananinyima Usingizi

Maria Sarungi ananinyima Usingizi

Hakufikii wewe
Fatma Karume picha hazionyeshi uzuri wake vizuri na mishe za uana harakati sijui
She is way too beautiful in person na akiwa ametulia hivi.,
Nlimuona siku moja we were like whaaatt....ni mzuri sana

Maria sijawahi muona live
 
Samahani, Maria ndo yupi hapo katika hizo picha mbili ulizoweka juu? Hata hivyo mbona hao ni watu wazima sana, kwa muonekano wao umri wao unakaribia au wana miaka 50. Na pia wana pete vidoleni mwao maana yake wapo katika ndoa hao.
Ni kugonga tu. Siku hizi hakuna cha mke wa mtu,ni kunyang'anyana tu
 
Mi nampenda sana Fatma aka shangazi sijui nafanyaje nimpate aisee km anaona huu uzy anitafute
 
Huyu shangazi tulisafiri naye last month, anaongea kama chiriku, na hachoki mwanzo mwisho wa safari
Duh that must be exhausting...
Huwa nachoka kuongea mda mrefu na kwa sauti ya juu
 
Back
Top Bottom