Maria Sarungi ananinyima Usingizi

Nafahamu hilo mkuuu, hata stragiz zake sio sawa wanawake wa Kizanzibar hata kidogo...hadi mavazi
Kaishi UK huyo mitaa ya London

Hajala dagaa katika makuzi yake so Wala usishangae
 
Mmh jamani kumbe shangazi kaishi London dah sidhani km atanielewa aisee ila kiukweli nampenda sana
 
Hawa wadada kwanini hawajaolewa maria na shangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…