Thanks Kenyan government.. Wameshindwa kumvusha boda?Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.
View attachment 3199978yu
MatakoKiki
Matako
Kenya kwenyewe watu wamepotea sanaHabari njema kwa watu wote....wenye roho mbaya walikuwa Wanashangilia.
M16 ipo pande ile ya Kajiado mazee hata sisimizi hakunaga potea
Kelele za watanzania?Mungu ni mwema, shukrani kwa kelele za Watanzania wote.