Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bilioni 900?
 
Naskia JPM anahusika pia kwenye utekaji wa Sativa, Nondo na Sarungi πŸ˜‚ ht yale mauaji ya yule mzee wa chadema pia anahusika 😎
Amerithisha DNA ya utekaji kwa mihuni iliyobaki.Naendelea kusoma kitabu cha Kabendera.
 
Ni vema kama hajabakwa na vijana wa Abdul Samia. Hakika Mama anaboronga na uongozi wake, kama hataki watu wamseme basi asiiuze nchi yetu kwa Waarab kujitajirisha yeye na familia yake.
Hivi,akili za watekaji huwa ni kubaka/kufira na upumbavu mwingine tu?Basi ni mashoga hao.
NB;Anayelawiti na anayelawitiwa kwa hiyari,wote ni mashoga.
 
Kumbe JPM hakuwa tatizo eee bali n system, tumekubaliana hvy?
Huo utofauti haujauona?

-Sema Kipindi cha JIWE ndiyo ulishamiri sana na huyu KIZIMKAZI ni female version of JIWE ,kwanini kipindi cha JIWE ulishamiri? Coz planners wake walikuwa VILAZA na yeye JIWE alikuwa hana KIFUA.-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…