Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini ndiyo nature ya binadamu haturidhiki ,just imagine Rais ana Bajeti ya zaidi ya Bilioni 900 kwa mwaka kama ulivyo mfuko wa jimbo kwa mbunge ,hizo fedha hapangiwi atumie vipi ,akitaka agawe kama alivyokuwa anagawa JIWE ni sawa haulizwi na mtu.

Mshahara wake haugusi maana kila kitu serikali inanunua ,then akistaafu anapata 80% ya salary aliyopo madarakani na mwenza wake mpaka mwisho wa maisha yao which means hata akipiga term moja tu basi kashatoboa hadi kufa kwake...lakini akishaingia tu na kuonja shushu anakuwa HITLER.

Marekani wana uhuru wa maoni ,hawazuii wananchi kuongea na wanamiliki VYUMA coz hawana hasira na wanasiasa kwasababau hawajazuiwa kuongea ,kwa nchi zetu hizi zinazozuia watu kuongea wasipitishe sheria ya kumiliki MIKWAJU kama STATE maana wanasiasa watamalizwa.
Bilioni 900?
 
Ni vema kama hajabakwa na vijana wa Abdul Samia. Hakika Mama anaboronga na uongozi wake, kama hataki watu wamseme basi asiiuze nchi yetu kwa Waarab kujitajirisha yeye na familia yake.
Hivi,akili za watekaji huwa ni kubaka/kufira na upumbavu mwingine tu?Basi ni mashoga hao.
NB;Anayelawiti na anayelawitiwa kwa hiyari,wote ni mashoga.
 
Kumbe JPM hakuwa tatizo eee bali n system, tumekubaliana hvy?
Huo utofauti haujauona?

-Sema Kipindi cha JIWE ndiyo ulishamiri sana na huyu KIZIMKAZI ni female version of JIWE ,kwanini kipindi cha JIWE ulishamiri? Coz planners wake walikuwa VILAZA na yeye JIWE alikuwa hana KIFUA.-
 
Back
Top Bottom