Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sijafurahi, kipenzi chako JPM kaharibu nchi, kaacha magenge ya watekaji ambayo itachukua muda mrefu kuyaondosha.HT hawa wa sasa nao Wanaotekwa na kuuawa wanafanyiwa na JPM, vp umefurahi adui wa JPM?
Pia kasababisha wanaomfuatia kwny utawala wadhani kuwa utekaji ni mbinu nzuri ya uongozi.
Alaaniwe sana huko aliko.