Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali.
Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni ishara kuwa wahusika huenda wakawa wanatokea Tanzania kwani serikali ya Kenya haina sababu ya kufanya hivyo.