Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

Wakati wa vyama vingi kabla havijaanzishwa Nyerere alisema hivyo hivyo wapinzani wasiwe wapinzani wa kweli bali waiunge serikali mkono ikiwa na vyama vya upinzani vya uongo ili wafadhiri wamiminike kwa wingi, elewa maana kabla ya kujua maana
 
Maria ahamishe kijiwe ahamishie Europe au US Canada.
 
Ondoka hapo watakuua kweli....wewe shangaa sema hukuwahi kudhania....kwa nini ulienda huko ? Ambapo pia ni kosa sogea ulaya huko
 
Sasa km hao wakora wameweza kumbananisha mpk kalia, vipi wakija wazee wa kazi wenyewe??
Yeye cha msingi km anajipenda asepe hapo kwa Ruto sio sehemu salama kwake..!!
Wakora wanamkaba mtu wakimtaka asiiseme seme serikali unaamini hao ni wakora?!
 
Akimbilie ubelgiji kwa zakayo sio salama
 
Hata kama wamekula hawezi kusemašŸ˜€
Mwanzo 6:5. "Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote." Mnawaza kama watu wa Dodoma na Gomora na wakati wa Nuhu.
 
Mwanzo 6:5. "Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu siku zote." Mnawaza kama watu wa Dodoma na Gomora na wakati wa Nuhu.
Sodoma na Gomora
 
Mimi najua iko siku Ataongea tu, kwa sasa najua bado anajiandaa kisaikologia.

Mpeni muda azoee media, atafunguka hadi alivyoachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…