Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua