Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We punguani wa akili ambaye malaria imeshambulia ubongo wako unataka katiba ya nchi iandike ccm itatawala. Katiba ya nchi inatoa nafasi kwa rais kutoka chama chochote kuongoza Tanzania kwa kipindi cha miaka kumi , katiba ya nchi siyo katiba ya ccm wala chadema.Hata katiba ya Tanzania haina ukomo wa madaraka. Wapi imeandikwa ccm itatawala kwa miaka 10?
Punguani means what?We punguani wa akili ambaye malaria imeshambulia ubongo wako unataka katiba ya nchi iandike ccm itatawala. Katiba ya nchi inatoa nafasi kwa rais kutoka chama chochote kuongoza Tanzania kwa kipindi cha miaka kumi , katiba ya nchi siyo katiba ya ccm wala chadema.
Kosa lake ni kupinga demokrasia kuchukua mkondo wake CDM.Mtanzania yeyote timamu ana Maslahi na Chadema, na anakuwa mtazamo, Mimi sina chama, ila nina mtazamo na Chadema hata Ccm, sasa Maria kosa lake ni kwamba ana audience kubwa
Uamuzu wa yote unatakiwa waachiwe wanachama wa CDM. Kama wamemchoka watamtema na kumchagua mwingine. Kama mna imani na Lissu mwachane apambane na awashinde wenake kwa hoja. Sio hii mnayoitaka ya kutaka apewe Uenyekiti kwenye bakuli.Kwanza kuna viashiria vyote , kuna usaliti mkubwa ndani ya chama, pia umeongoza miaka 20 kuna kipi cha zaidi unaweza pea tena? Katiba yao ipoje? Vipi utakuwa na nguvu gani ya kudai katiba mpya yenye ubora ,wakati yakwako haina hata ukomo wa madaraka?