huyo si msimbe? hizo ndizo tabia za kisimbe🐒Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
Duhhuyo si msimbe? hizo ndizo tabia za kisimbe🐒
Chadema?Ni mwanachama wa sauti ya Tanzania.
Sijawahi kuona mahali kajinadi kuwa yeye ni chadema.Chadema?
Kwanini anatumia nguvu nyingi na mishale mingi dhidi ya mbowe kwa lissu?Sijawahi kuona mahali kajinadi kuwa yeye ni chadema.
Mtu mwenye akili timamu angefanya hivyo pia, chadema ilipaswa kuwa mfano wa kuigwa , kwenye upande wa demokrasia haki na utawala bora wa sheria.Kwanini anatumia nguvu nyingi na mishale mingi dhidi ya mbowe kwa lissu?
Kwani kosa lao ni lipi? Kuruhusu Mbowe kugombea na kumwachia lissu bila kupingwa?Mtu mwenye akili timamu angefanya hivyo pia, chadema ilipaswa kuwa mfano wa kuigwa , kwenye upande wa demokrasia haki na utawala bora wa sheria.
Kwanza kuna viashiria vyote , kuna usaliti mkubwa ndani ya chama, pia umeongoza miaka 20 kuna kipi cha zaidi unaweza pea tena? Katiba yao ipoje? Vipi utakuwa na nguvu gani ya kudai katiba mpya yenye ubora ,wakati yakwako haina hata ukomo wa madaraka?Kwani kosa lao ni lipi? Kuruhusu Mbowe kugombea na kumwachia lissu bila kupingwa?
Haujakatazwa kupeleka pingamizi mahakamaniNimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
Hata katiba ya Tanzania haina ukomo wa madaraka. Wapi imeandikwa ccm itatawala kwa miaka 10?Kwanza kuna viashiria vyote , kuna usaliti mkubwa ndani ya chama, pia umeongoza miaka 20 kuna kipi cha zaidi unaweza pea tena? Katiba yao ipoje? Vipi utakuwa na nguvu gani ya kudai katiba mpya yenye ubora ,wakati yakwako haina hata ukomo wa madaraka?
Halafu wewe ndio mpanga mkakati wa Lissu kwa majibu kama hayaHaujakatazwa kupeleka pingamizi mahakamani
Hauko timamu kichwani.Mtu mwenye akili timamu angefanya hivyo pia, chadema ilipaswa kuwa mfano wa kuigwa , kwenye upande wa demokrasia haki na utawala bora wa sheria.
👍Hauko timamu kichwani.
Hiki kinachofanyika ni nini kana sio demokrasia? Kwani Lissu amezuiwa kugombea?
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Swali? Mwanachama wa chadema? Kwanini anawavuruga kiasi hicho?Ni jambo analoona linafaa, heshimu tu mtazaMo wake