Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

calmdowndear

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
605
Reaction score
274
Jamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake.

Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process?

DDlHjn7XUAQTO45.jpg

DDk7E_MW0AED7U6.jpg
 
Very Smart yani anajitambua
Yaani ni kweli kwamba huyu sister anajitambu kinoma:Mimi anakumbuka,
wakati wa bunge la katiba! ambalo
lilizaa katiba pendekezwa uchwara! yeye hakushiriki hadi mwisho Aliachia njiani! Nachelea kusema kusema aliondokaga na kundi la UKAWA. na hakurudi tena baada ya kutokea sintofahamu kati ya Tanzania One na Ukawa. Ambapo waliobaki wakatuijia na rasimu ya Chenge! Na Mmanda. Advocate.
 
Mkuu Kichaula, hivi kwa madudu aliyokuwa anafanya advocate mmnda ndani ya BLK hakuzawadiwa hata udc?
 
Ila sasa ni mwana CCM
 
Mkuu Kichaula, hivi kwa madudu aliyokuwa anafanya advocate mmnda ndani ya BLK hakuzawadiwa hata udc?
Ampe nani! Juzi Mkutano mkuu ule wa sisiem alikuwa kajipanga kumrithi Abraham Kinana
Alidanywa alikuwa keshadakisha dakisha wajumbe! wakamlaghai kuwa
angelirithi ukatibu Mkuu.
ILa mkuu akawachanilia mbali
ya kuwa kuna ambao wamehonga honga akatamka nataka sekretarieti nzima ibaki! akabaki amelala doro [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom