BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ulichoandika hapa ni kweli kabisa. Naona sasa kapunguza speed ya kupiga tarumbeta ingawaje bado akili yake iko huko kwa wanafiki.
Hakupotea bali ilikuwa ni msimamo wake halisi. Miezi ya kwanza ya Magu alikuwa mpuliza tarumbeta ya kumshangilia mpk alipogundua mtoto siyo riziki ndo akaanza kujirudi ila kwangu CCM wote ni wanafiki tu