Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

prof alizaa na mkewe mzungu,pia huyo dada mmewe ni raia wa Ethiopia.
Ohhhh kwa hiyo ana mume
Huyo mume bado mu Ethiopia au kashakuwa Mtanzania?

Kwa nini huyu dada habadilishi hair style?
Ana watoto?
 
Inabidi hadi mzinduke au mzinduliwe kwa kweli; hivi kweli kabisa bado mnaamini Lowassa ndio alikuwa chaguo sahihi. Mtalaumu watu wote wengine duniani isipokuwa nyinyi wenyewe. Ni muhimu kuanza kuwajibika kwa maamuzi yenu wenyewe!
Hao ukawa wamekuwa kama mataahira,sisi wengine tumebaki kuwaangalia kwa huruma tu. Nchi hii haijawa na watu wote hopeless kiasi cha kuongozwa na Lowassa.
 
Alivyotoa majibu ya kale kautafiti kake uchwara by Twaweza aliambulia matusi Twitter adi alipaona pachungu
M mwenyewe nilishiriki
Utafiti ulifanywa na Twaweza.. Mariah alienda kuchangia kwenye mjadala kama mwalikwa... Of course mlishikwa akili na wajanja kiasi kwamba hamkuwa mkijua mlifanyalo.. Matusi yenu hayajambadili Maria kama mwanamke anajielewa sana. Poleni sana.
 
Maria sarungi alisisoma shule ya msingi oyster bay.O-level na A- level alisoma zanaki sec.Degree ya kwanza alisoma hungary na degree ya 2 alisoma marekani.Then akaajiriwa na gaziti la new york post.Ka sasa ni mkurugenzi wa campss solution co.ltd.Yeye ni mtoto wa mwisho wa prof.sarungi.MAMA yake ni mzungu wa hungary.Prof.sarungi amewahi kuwa mkurugenzi wa muhimbili,waziri wa afya,uchukuzi,elimu na ulinzi.Pia amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa pwani na kilimanjaro.Vilevile amekuwa mbunge wa rorya kwa miaka 10.Maria ameolewa.
Degree ya kwanza alisomea nini na Chuo kipi huko Eastern Europe?

Degree ya pili umesema alipata marekani tafadhali naomba majina ya vyuo na miaka aliyosoma huko USA

Umesema Ali wahi kuwa mwandishi wa habari wa azwti linalomilikiwa na Rupert Murdoch la New York Post. Naomba utuleteee articles alizoandika za NYP
 
Jamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake.

Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process???
Hiyo kazi ya ukuwadi sasa, na kuuliza uliza nako ni dalili ya woga uki yavulia maji nguo yaoge tu,Ni Maria Sarungi lakini navyo jua anajina la ziada la Tsehai kama sikosei, ikiwa na maana atakuwa ameolewa pengine na mtu wa Ethiopia, ila watu hufuata nyuki wakijua pia kuna miba,kama ni manundu yatapona tu, songa kidume.
 
Alijiaibisha sana bunge la katiba..nenda twiter ndio anashinda huko na akina Zito na January
Alijiaibisha na nini Bunge la Katiba? Mbona alijiondokea mapema na Ukawa binti wa watu hakutaka makuu na kuwaacha wabunge uchwara waliotafuna pesa zetu na kutuletea madudu?
 
Maria sarungi alisisoma shule ya msingi oyster bay.O-level na A- level alisoma zanaki sec.Degree ya kwanza alisoma hungary na degree ya 2 alisoma marekani.Then akaajiriwa na gaziti la new york post.Ka sasa ni mkurugenzi wa campss solution co.ltd.Yeye ni mtoto wa mwisho wa prof.sarungi.MAMA yake ni mzungu wa hungary.Prof.sarungi amewahi kuwa mkurugenzi wa muhimbili,waziri wa afya,uchukuzi,elimu na ulinzi.Pia amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa pwani na kilimanjaro.Vilevile amekuwa mbunge wa rorya kwa miaka 10.Maria ameolewa.
Duh, naona CV zote muhimu umemshushia, labda kama anataka kujua na idadi ya watoto alionao maana amesema anataka kuanza process
 
Back
Top Bottom