Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

Familia yao wamezaliwa wangapi? Kama wako wengi hao wengine wako wapi na wanafanya kazi gani .
yupo prof.Martin sarungi,Dr.Emoke sarungi,Dr.Veronica sarungi na Maria Sarungi.Prof.Martin yuposcotland,Dr.Emoke yupo sweden,Dr.Veronica na Maria wapo dar.Maria ameolewa na muethiopia Tshei.NAFIKIRI UMENIELEWA VYEMA.
 
umemcha
Anajifanya feminist Wa kutetea haki za wanawake na muda huo huo ana shindano la miss universe kutembeza Dada na wadogo zetu uchi jukwaani... Shame on her
nganya na wengine mkuu.Ni haki za wasanii na sanaa mkuu....fanya followup pls
 
Degree ya kwanza alisomea nini na Chuo kipi huko Eastern Europe?

Degree ya pili umesema alipata marekani tafadhali naomba majina ya vyuo na miaka aliyosoma huko USA

Umesema Ali wahi kuwa mwandishi wa habari wa azwti linalomilikiwa na Rupert Murdoch la New York Post. Naomba utuleteee articles alizoandika za NYP
wewe umesomea nini,lini,wapi , unafanya nini kwa sasa na huko nyuma uliwahi kufanya nini?.....jibu ujibiwe
 
Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.

Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds

Tabia chafu sana hii
 
Nilishapoteza credibility kwake alivyokuwa anatetea tafiti hata penye ukweli anapotosha kipindi cha uchaguzi alipokuwa na Twaweza. Huko nyuma nlikuwa namwona smart but after that nkajua ni mchumia Tumbo.

Njaa mbaya na haina kabila rangi wala hair style...
 
Nilishapoteza credibility kwake alivyokuwa anatetea tafiti hata penye ukweli anapotosha kipindi cha uchaguzi alipokuwa na Twaweza. Huko nyuma nlikuwa namwona smart but after that nkajua ni mchumia Tumbo.
Kama baadhi yetu tulivyokua tukiwaamini waliojipambanua kama wapinga ufisadi na uonezi Tanzania kumbe ni ....... tu.
 
Back
Top Bottom