Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

DIs1pWpW4AAZcA-.jpg
 
Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.

Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds

Tabia chafu sana hii
Kama wamekutoa uhai kweli basi damu yako itawalilia hadi kizazi cha nne
 
ana rangi tamu sana huyu dada. yani mimi na yeye tungezaa mtoto mmoja mzuuuriiii mweupe albino haoni ndani
 
Inabidi hadi mzinduke au mzinduliwe kwa kweli; hivi kweli kabisa bado mnaamini Lowassa ndio alikuwa chaguo sahihi. Mtalaumu watu wote wengine duniani isipokuwa nyinyi wenyewe. Ni muhimu kuanza kuwajibika kwa maamuzi yenu wenyewe!

mkuu huyu ulie mpigia debe mbona nchi inamshinda kwanini tusiamini lowassa ndiye alikuwa anahitajika
 
Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.

Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds

Tabia chafu sana hii
Hivi ndo hauta rudi tena. We miss u
 
Alikuwa na kipindi chanel tena miaka hiyo kikitwa FACETS
 
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi!

Hapa kuna ukweli flani wengine wanabebwa na majina ya wazazi wao
 
Back
Top Bottom