Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

anataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?

hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act 🐒
Mjini mipango, Nondo anataka ubunge da Meli anataka ukimbizi wa kisiasa. Kaazi kweli kweli, eti baada ya kuachiwa kaenda nyumbani badala ya polisi. Wapinzani wameamua kuwa zekomedi🤣🤣
 
Angalia dada uchawa unamipaka hata kama unamahaba, kuna siku utaingizwa chuma cha moto kwenye tundu.

Mwanaume uzima unacheka mpaka unajikojolea, oooh nimekosea kumbe ni Mwanamke.
 
kama kweli alitekwa mbona ameachwa mzima? hata mkono hata kuvunjwa hajavunjwa kama Abdul Nondo?
Lengo lilikuwa ni kumvusha border na si kumvunja mkono, hapa kwa kuwa jaribio limefanyika Kenya na wenyewe si mafala huwa wako straightforward otherwise ingekuwa ni TZ wangedai ni one faction within CHADEMA ndiyo imehusika lakini wenzetu wamenyooka moja kwa moja kimaelezo bila ya kumung'unya maneno.
Screenshot_20250114-084627.jpg
Screenshot_20250114-084524.jpg
Screenshot_20250114-084527.jpg
 
Angalia dada uchawa unamipaka hata kama unamahaba, kuna siku utaingizwa chuma cha moto kwenye tundu.

Mwanaume uzima unacheka mpaka unajikojolea, oooh nimekosea kumbe ni Mwanamke.
Hata mama yako ni mwanamke. Au kwenu mwanamke ina maana gani. Mwenyewe tundu unalo ila ukiona ndio wazo lilalokujia kwenye mazungumzo ya Maria inawezekana lina shida kubwa. Jiheshimu huna tusi jipya unajidhalilisha tu. Au wewe ndio Maria😄😄😄
 
Mimi sio Maria, mimi ni Mume wa wake wawili Maria na Wewe (Kwamuktadha)
 
Kwenu kuoa au kuolewa ni tusi? Wewe wa nje ya ndoa nini? Tafuta mambo ya msingi issue zako mke, tundu. CHADEMA bwana😅😅
Sawa Kija Yunuc nimekuelewa, inaonesha wewe Mama yako alipewa talaka tangu ukiwa na Miaka 2 ndio maana upendo wa baba hauna, akili zako zipo fyatu kama Kasongo yeyeeee.😆😆😆😆
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika. Kutoka Maria mpaka talaka. Kichwani umejaza nyama akili huna. Pole dogo, una safari ndefu sana. Anyway mpe ujumbe Nondo abuni mbwinu nyingine hii ya kujiteka haina mvuto tena🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo alivyojiteka alikuja kwako kukupiga nao. 😄😄😄😄
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika. Kutoka Maria mpaka talaka. Kichwani umejaza nyama akili huna. Pole dogo, una safari ndefu sana. Anyway mpe ujumbe Nondo abuni mbwinu nyingine hii ya kujiteka haina mvuto tena🤣🤣🤣
Nirudie kusoma mara ngapi sista Du, lisaa limoja goal moja kwa Man filandu alivyo-kufilandu bado tu haujalizika binti ?

Unakuwa choko wa uchawa mpaka unashikiliwa akili. Kwa hiyo, ndio mmejipanga kueneza propaganda za kuwa Nondo kajiteka ili tu upewe mimba. Wewe subiri tu mpaka mumewako siku wamteke alafu wa-mfilandu huku akirudi nyumbani kwa kutembea style ya kwasakwasa ndio akili itakukaa sawa.

Watu wanajadili mambo mazito ya Kitaifa wewe unaleta Ushoga wako wa Kubong'oa, yaliyako mashababi watakuvulia Pete uanze kulia unaumizwa.
 
Wakuu,

Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.

Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri

==========================================

"Jana niliondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"

"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"

"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi alitoka kwenye gari yao na wengine wawili wakaanza kumfokea dereva kwamba afungue mlango. Na mimi nikamwambia dereva asifungue mlango wa gari"

"Baada ya hapo waliweza kufungua mlango na wakaanza kunivuta nje nikaanza kupambana nao ili nisitoke nje ya gari lakini waliweza kunibeba na kuniingiza kwenye gari yao. Nilikuwa napiga kelele sana kuomba msaada baada ya muda wakaanza kujaribu kufiha uso wangu ili nisiwaone"

View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=81e_duSZSc0

Maria akizungumzia iwapo Serikali ya Tanzania ilihusika katika utekaji wake:

Wamemkosa🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Lengo lilikuwa ni kumvusha border na si kumvunja mkono, hapa kwa kuwa jaribio limefanyika Kenya na wenyewe si mafala huwa wako straightforward otherwise ingekuwa ni TZ wangedai ni one faction within CHADEMA ndiyo imehusika lakini wenzetu wamenyooka moja kwa moja kimaelezo bila ya kumung'unya maneno.View attachment 3201703View attachment 3201704View attachment 3201705
Kwa nchi zingine ukiingia kwenye Offisi unatakiwa kuvua kofia , ili sura ionekane vizuri. Na Namba za Ile noah bado hazijatambulika au wameisha zifahamu
 
Nirudie kusoma mara ngapi sista Du, lisaa limoja goal moja kwa Man filandu alivyo-kufilandu bado tu haujalizika binti ?

Unakuwa choko wa uchawa mpaka unashikiliwa akili. Kwa hiyo, ndio mmejipanga kueneza propaganda za kuwa Nondo kajiteka ili tu upewe mimba. Wewe subiri tu mpaka mumewako siku wamteke alafu wa-mfilandu huku akirudi nyumbani kwa kutembea style ya kwasakwasa ndio akili itakukaa sawa.

Watu wanajadili mambo mazito ya Kitaifa wewe unaleta Ushoga wako wa Kubong'oa, yaliyako mashababi watakuvulia Pete uanze kulia unaumizwa.
Unaloongea nduo lililoujaza moyo na ubongo wako. Pole dogo. Kwa hiyo ulivyo highlight ndio point siyo? Nimekupata mchele mchele🤣🤣🤣🤣
 
Ni msisitizo tu my wife kuonesha Mpingo umesimama. Vipi beibi sasa hivi umeliwa? Yani namaana umekula.
 
Wakuu,

Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.

Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri

==========================================

"Jana niliondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"

"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"

"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi alitoka kwenye gari yao na wengine wawili wakaanza kumfokea dereva kwamba afungue mlango. Na mimi nikamwambia dereva asifungue mlango wa gari"

"Baada ya hapo waliweza kufungua mlango na wakaanza kunivuta nje nikaanza kupambana nao ili nisitoke nje ya gari lakini waliweza kunibeba na kuniingiza kwenye gari yao. Nilikuwa napiga kelele sana kuomba msaada baada ya muda wakaanza kujaribu kufiha uso wangu ili nisiwaone"

View: https://www.youtube.com/watch?app=desktop&v=81e_duSZSc0

Maria akizungumzia iwapo Serikali ya Tanzania ilihusika katika utekaji wake:

Single imepwaya mapema sana
 
Back
Top Bottom