mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi .
Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton mmekua mstari wa mbele kuchapisha taarifa nyingi zisizokua na uthibitisho. Mkiendelea hivi mtaishia kuonekana kama wanasesere tu au vichaa wenye chuki na kusumbuliwa na ukimwi wa zamani.
Nawapongeza kwa ujasiri wenu , lakini mkiendelea kupandisha Kila taarifa mnayokutana nayo mitandaoni pasipo kuhakiki uhalali wake basi mtakua mnajirudisha nyuma wenyewe...adiosss