Mkuu hii nchi haina mwanaharakati wa kuwatetea wananchi ila wanaongozwa na mambo mawili tuMkuu umechelewa kujua...
Hii nchi haina usalama wa taifa, ina usalama wa mafisadi...
Ndio maana raia feki kama Rostam na GSM wanaweza kukufanya chochote na wasifanyiwe chochote...
Huyo Recho kosa lake kubwa ni kufanya harakati za kukutetea wewe mwananchi wa kawaida dhidi ya mafisadi...
Bado Maria siku zake zahesabika, huwezi kushindana na dola yoyote hapa dunia ukashinda huo ndio mtindo wa utawala, dola haijui siasa zenu ila maslahi mapana ya nchi
Hilo la wao kulipwa unaweza kuwa sawa...Mkuu hii nchi haina mwanaharakati wa kuwatetea wananchi ila wanaongozwa na mambo mawili tu
1. Kutumika na wenye pesa
2. Kupigania ugali wao baada ya kuguswa
Hatuna wanaharakati wa hayo mawazo yako
Huwezi kutetea watu wako halafu ikawa unalipwa basi hapo ujue hautatenda haki kwasababu kesho utaambiwa uumize wengine na utakuwa tayari kufanya hivyo....Hilo la wao kulipwa unaweza kuwa sawa...
Ninachojali ni kwamba ni kweli wanatetea watu wao.
Uko sahihi...Huwezi kutetea watu wako halafu ikawa unalipwa basi hapo ujue hautatenda haki kwasababu kesho utaambiwa uumize wengine na utakuwa tayari kufanya hivyo....
Hatuna wanaharakati wa kutetea wananchi hapa bongo ni njaa tu zinazowasukuma
Labda Kuna jambo hujaligundua kati ya hii kauli yangu "Kulipwa" huendana na "kutumika"Uko sahihi...
Wananchi ni waelewa pia, kwahiyo siku mwanaharakati akikengeuka kwa namna yoyote ile anaachwa..
Yuko wapi Kigogo?
Kwahiyo sio kwamba wananchi hawaelewi kwamba wanaharakati hulipwa...
Lah, tunawafuata kwasababu wanachotetea ni kweli...
Hawa wakoloni ni wale wale,si ndio hawa wanapambana na rasilimali za watu kule Iran!Hii Serikali ya kimafia ikifanya uhalifu wake ndani ya ardhi ya Marekani ndio itajua haijui.
Uko sahihi na nakuelewa kwa hilo...Labda Kuna jambo hujaligundua kati ya hii kauli yangu "Kulipwa" huendana na "kutumika"
Yeyote anayelipwa basi ujue Kila anachokifanya ni kwa niaba ya maslahi ya anayelipwa...
Kama mwanaharakati analipwa basi ujue hatopambania maslahi ya wananchi Bali ni ya wale wanaomlipa. Mwanaharakati yeyote anayelipwa hayupo kwa ajili ya maslahi ya wananchi Bali ni ya wachache wanaomfadhiri
Alijua Japan mbali ?Yule alikuwa mweu, afu alikuwa anajiachia kwenye ma club, elimu hana, ilikuwa rahisi kumdaka