Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Hawa ndio wanawake wa shoka,huko ccm wamejaa wakata mauno tu kazi yao kutafunwa
 
Hawa ndio wanawake wa shoka,huko ccm wamejaa wakata mauno tu kazi yao kutafunwa
Acheni ujinga na upuuzi jamani. Ni mwanamke gani asiyefanywa hivyo au mwanaume asiyefanya hivyo au unaongelea jamii ya mashoga mwanangu?
 
Unatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Sisi tunajua ni mashujaa waliothubutu,we know where you stand for.
 
Unatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
na wamekula na kosoma kwa kodi zetu.....
 
Ni nakosa kumuita Halima mzee.

It is defamation of high degree kufanya hivyo. Achana myth ya aina hiyo.

Hata hivyo kwenye kusimamia Nini, mimi naona anasimamia usaliti.
Maslahi yake
 
Unatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Na wewe lewa na uzito wa familia yako.
 
Back
Top Bottom