Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mara kadhaa nimewahi muona akisoma masomo kanisani, yeye ama ndugu yake...Naongezea hapa.
Lakini huyu Maria ni Mkatoliki swaafi nimepisha maye sana hapo St Joseph Cathedral Misa za Mchana na ibaza za Majuma makuu.
Kuzaliwa Kibaha sio lazima uwe Mkwere.
Ni kweli kabisa mura. Mimi nimezaliwa Kibaha lakini kwetu ni ShiratiKuzaliwa Kibaha sio lazima uwe Mkwere.
Ukizaliwa Tarime sio lazima uwe Mkurya.
Ukizaliwa Dar sio lazima uwe Mzaramo.
utakua umesoma loyola weweAna ndugu yake anaitwa veronica sarungi,
1. Alikuwa mrefu na alikuwa na slim figure na minywele ya kichotara
2. Alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria, mzuri,msikivu, hana majigambo ya kiuchumi na kimamlaka,
3. Mshahara wake wote alikuwa anawapeleka watoto wenye maisha magumu nahisi ilikuwa kituo cha kigogo ( catholic centre)
4. Alikuwa single by then. Mtu wa kusali,
5. Kubwa kuliko alinifundisha kusamehe na kusahau
Mungu akubariki popote ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado yupo vile vile simple anafundisha Aga khan secondaryAna ndugu yake anaitwa veronica sarungi,