Mariah Carey anataka alipwa mamilioni na ex wake bilionea

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola
milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James
Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi,
muimbaji anataka zaidi.
1477734849026.jpg

Wawili hao waliachana baada ya kuzuka ugomvi
walipokuwa wakila bata kwenye yacht nchini
Ugiriki mwezi September kufuatia tetesi kuwa
diva huyo anachepuka na dancer wake, Bryan
Tanaka.
Kwa mujibu wa ripoti, Carey anataka alipwe dola
milioni 50 kutoka kwa Packer baada ya
kumhamishia LA na anadai kuwa ameathirika na
kuachana kwao kiasi cha kukatisha ziara yake
ya Amerika Kusini.
Hata hivyo vyanzo vilivyo karibu na bilionea huyo
vimedai kuwa Carey asahau kupewa hata senti.
“Ni ujinga kudai kuwa James ni sababu ya
kusitisha ziara yake ya Amerika Kusini. Siku
chache zilizopita aliwalaumu mapromota,”
kilisema chanzo.
Sababu kubwa inayoelezwa kuwa chanzo cha
wawili hao kuachana ni usaliti wa Carey na
matumizi makubwa ya fedha. Wawakilishi wa
muimbaji huyo wanakanusha.
 
Kuna watu Hawana aibu bhana....Yaani Carey anadai mamilioni kutoka kwa Mchumba tu na sio mume
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pesa haina aibu ndo maana wengine wanaigiza porn
Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola
milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James
Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi,
muimbaji anataka zaidi.
View attachment 426040
Wawili hao waliachana baada ya kuzuka ugomvi
walipokuwa wakila bata kwenye yacht nchini
Ugiriki mwezi September kufuatia tetesi kuwa
diva huyo anachepuka na dancer wake, Bryan
Tanaka.
Kwa mujibu wa ripoti, Carey anataka alipwe dola
milioni 50 kutoka kwa Packer baada ya
kumhamishia LA na anadai kuwa ameathirika na
kuachana kwao kiasi cha kukatisha ziara yake
ya Amerika Kusini.
Hata hivyo vyanzo vilivyo karibu na bilionea huyo
vimedai kuwa Carey asahau kupewa hata senti.
“Ni ujinga kudai kuwa James ni sababu ya
kusitisha ziara yake ya Amerika Kusini. Siku
chache zilizopita aliwalaumu mapromota,”
kilisema chanzo.
Sababu kubwa inayoelezwa kuwa chanzo cha
wawili hao kuachana ni usaliti wa Carey na
matumizi makubwa ya fedha. Wawakilishi wa
muimbaji huyo wanakanusha.
 
Na hii ndi tofauti ya ustaa wa nchi zilizoendelea na hii bongo yetu. Kina Wema wanatumiwa, wakichokwa wanatupwa hata senti hawaambulii.
 
Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola
milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James
Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi,
muimbaji anataka zaidi.
View attachment 426040
Wawili hao waliachana baada ya kuzuka ugomvi
walipokuwa wakila bata kwenye yacht nchini
Ugiriki mwezi September kufuatia tetesi kuwa
diva huyo anachepuka na dancer wake, Bryan
Tanaka.
Kwa mujibu wa ripoti, Carey anataka alipwe dola
milioni 50 kutoka kwa Packer baada ya
kumhamishia LA na anadai kuwa ameathirika na
kuachana kwao kiasi cha kukatisha ziara yake
ya Amerika Kusini.
Hata hivyo vyanzo vilivyo karibu na bilionea huyo
vimedai kuwa Carey asahau kupewa hata senti.
“Ni ujinga kudai kuwa James ni sababu ya
kusitisha ziara yake ya Amerika Kusini. Siku
chache zilizopita aliwalaumu mapromota,”
kilisema chanzo.
Sababu kubwa inayoelezwa kuwa chanzo cha
wawili hao kuachana ni usaliti wa Carey na
matumizi makubwa ya fedha. Wawakilishi wa
muimbaji huyo wanakanusha.
Huyu manzi kweli kichaa...... Kwa age yake alaf haishi kwenye ndoa ndio maana anakua kama mwehu.
 
Dollar milion50? yani billion 100tz ahaaa kwaiyo mariah anasaman ya bombadier za magufuli
 
Hivi huyo mwanaume angekuwa hana hela angemdai pesa hiyo? Naona Dada anatumia fursa, anajua kwa jamaa pesa ipo
 
duuuh anamasihara kwa kweli, hata kama jamaa huwa anak**ya hzo pesa ila sio kwa urahc hvo et "hzi hapa chukua"!!! nyooo
 
Back
Top Bottom