Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Sikubaliani kabisa na ule utaratibu wake wa kutangaza biriani huku akituonyesha makalio ni upunguani na kukosa akili ni dhahiri kwamba anatangaza biashara ya tigo kwa ujanja acha kutetea ushenzi jombaa
Sitetei ushenzi, napinga falsafa yako ya kufukua makaburi ili kuharibiana biashara
 
Hilo jukwaa la wakubwa likoje, joining yake ikoje
 
Sitetei ushenzi, napinga falsafa yako ya kufukua makaburi ili kuharibiana biashara
Sasa kama biashara yenyewe inatangazwa kwa njia zilezile alizofukia makaburi unategemea nini mkuu
 
Biashara kuporomoka kwa masi ni uongo. Nina rafiki yangu anakaa karibu na anapouzia biriani yake anasema Leo wateja ni wengi kuliko kawaida
Hao waliojaa gafla wana lengo mbadala tukae baada ya muda utaniambia
 
in fact, kwa muktadha wa maudhui ya hii post yako, tayari unam promote bila kujua.

mimi sijawahi hata kulisikia hili jina lakini sasa nitaanza kumfuatilia na hilo "biriani" lake. najua siko peke yangu!

mkuu, hongera sana kwa kujivika u PR wa bimkubwa Mariam!
 
Acha kuleta fallacies za kizamani lengo langu nimelionyesha kwenye heading
 
Anafanya kazi gani asaivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…