Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Sitetei ushenzi, napinga falsafa yako ya kufukua makaburi ili kuharibiana biasharaSikubaliani kabisa na ule utaratibu wake wa kutangaza biriani huku akituonyesha makalio ni upunguani na kukosa akili ni dhahiri kwamba anatangaza biashara ya tigo kwa ujanja acha kutetea ushenzi jombaa