Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Biashara kuporomoka kwa masi ni uongo. Nina rafiki yangu anakaa karibu na anapouzia biriani yake anasema Leo wateja ni wengi kuliko kawaida
Kwanza ndio wateja wataongezeka zaidi ikizingatiwa kwamba washajua rasmi kuwa kuna huduma ya biriani la mtaroni.

Wapenda mtandao watakua free kuomba huduma.


Nchi ina vituko vingi Sana hii.


BTW nimekumiss wa kunyumbaa!
 
Kwanza ndio wateja wataongezeka zaidi ikizingatiwa kwamba washajua rasmi kuwa kuna huduma ya biriani la mtaroni.

Wapenda mtandao watakua free kuomba huduma.


Nchi ina vituko vingi Sana hii.


BTW nimekumiss wa kunyumbaa!
Eeh biashara lazima ishike kasi sasa hivi.

Nipo wakunyumba bundle linaninyima kuingia sana huku
 
Sikubaliani kabisa na ule utaratibu wake wa kutangaza biriani huku akituonyesha makalio ni upunguani na kukosa akili ni dhahiri kwamba anatangaza biashara ya tigo kwa ujanja acha kutetea ushenzi jombaa
Mkuu mbona madada wengine wakisonga ugali mwili unanesanesa au kwa vile ni biriani.
 
Huyu mdada alijipatia umaarufu kwa kuonyesha makalio yake mfuto kwenye clips mbalimbali kwa kichaka cha kuuza biriani maeneo ya Tabata.Sasa wahuni wamevujisha clips zake akijichua amebaki akilia huku biashara yake ikiporomoka kwa kasi. Tujifunze kwamba kusaka umaarufu kwa njia ya mkato kuna gharama zake
Biashara inataporomoka?
Watu wamejazana wanapiga biriani Kama kawa
Hujui Tabia za wabongo? Wakisikia mlio wa bomu badala ya kukimbia wajiokoe wao ndo wanakimbilia eneo la tukio kuona kimetokea nini
Screenshot_20190419-175611~2.jpeg
 
Biashara inataporomoka?
Watu wamejazana wanapiga biriani Kama kawa
Hujui Tabia za wabongo? Wakisikia mlio wa bomu badala ya kukimbia wajiokoe wao ndo wanakimbilia eneo la tukio kuona kimetokea niniView attachment 1075777
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo wanaume lazima waongezeke mamaeee... watajaa balaaa
 
Back
Top Bottom