Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

Biashara kuporomoka kwa masi ni uongo. Nina rafiki yangu anakaa karibu na anapouzia biriani yake anasema Leo wateja ni wengi kuliko kawaida
. Ok vizuri, Kwa hiyo mzigua unamsapoti rafiki yako Mariam kwenye biashara yake ?
 
Mmmmh Nina mashaka Na wewe Sio Marian mwenyewe Kweli??
Kaisha sema li clip la miaka mingi sana na ishu hiyo ilikwishapita, naona mnaamua kumvurugia biashara, kumbuka no body is perfect, hata wewe unayeshadadia habari hii huenda una makandokando yako ya zamani yakiwekwa hapa utachanganyikiwa. Tumuache afanye biashara
 
Haaaaa haaaaaa Eeeeeee eeeeeeh nicheke Mariam hawa unaowalipa wakutetee utafolisika bure.Huwezi wadanganya wanaokujuaaaaa.Au hamjaona kideo.Aunadanganywa Na Picha ingine mweupe ingine nyeusi.Mi camera the same person
Hiyo clip siyo yeye kabisa ila watu wanatala kulazimisha kuwa ni yeye.Sura ingine kabisa.
Watu wanatoa laki kumla halafu ajichue???
 
Mwenzio anelipwa Mana Sio kwa kumtetea huko
Ametubu kwani wewe ndiwe Mungu Baba uliyepokea toba zake? acheni kutetea tabia za kishenzi utatangazaje biashara halali ya chakula kwa kutuonyesha makalio huku anayatingisha intentionally
 
Kwa wale waliozoea kuangalia mauchafu kule xvideo.hiyo vídeo hata huwez kuona cha ajabu utajutia bure
Upumbavu mtupu ule , hata xvideos waliikataa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Haaaaa haaaaaa Eeeeeee eeeeeeh nicheke Mariam hawa unaowalipa wakutetee utafolisika bure.Huwezi wadanganya wanaokujuaaaaa.Au hamjaona kideo.Aunadanganywa Na Picha ingine mweupe ingine nyeusi.Mi camera the same person
Ule mshuka wa kimasai unawaingiza watu chaka hadi wanadhani kulikua na zaidi ya mtu mmoja , anajikojoza mwenyewe tu pale[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom