Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nikweli anaitwa Mariam "nime save kwenye ukurasa wa majina ya simu yangu", lakini kiukweli simjui huyu Mariam.
Ipo hivi......
Jana nimetoka kupombeka, mida ya saa tano usiku nimekaa na mamaenu "wengine bibi yenu" Mariam akapiga sim, nikweli ninayo namba yake lakini simjui na sina ukaribu na mwanamke anaitwa Mariam.
Hii kitu imenikosesha amani kabisa, sio kwamba nimekosea.... lakini naona kwamba huyu ni Mariam yupi/wa wapi??
Yaani ilikuaje nikawa na namba nilio save Mariam!! Hii namba nimetazama kwenye muamala imemsoma Mariam, lakini nimepiga sim ili nimuhoji Mariam lakini namba yake haiiti tangu jana.
Wakuu.....
Mganja hajigangi.
Namaanisha janja boy siwelewi imekuaje Mariam.
Sitaki mnishauri, lakini Mariam awe funzo kwenu.