Mariam kaniletea ugomvi, namalizaje huu msala?

Mariam kaniletea ugomvi, namalizaje huu msala?

Sijui kwa nini hadi nimecheka. Pole sana Baba mchungaji.

Itakuwa imejisave yenyewe hiyo. 😅😅
 
Atakuwa kokubanza yule mhudumu w baa.

Ila mkwe hujatulia eeh, mariam kupiga tu na sm yenyewe hujapokea ila unakufa mwenyewe,

Hao wanawake watawaletea presha
 
Sijui kwa nini hadi nimecheka. Pole sana Baba mchungaji.

Itakuwa imejisave yenyewe hiyo. 😅😅
Imeniuma sana Mama mchungaji, na sioni poa kama hiki kiumbe nimekikwaza..😶
 
Atakuwa kokubanza yule mhudumu w baa.

Ila mkwe hujatulia eeh, mariam kupiga tu na sm yenyewe hujapokea ila unakufa mwenyewe,

Hao wanawake watawaletea presha
Mkwe...
Kinacho nitafuna ni mwanao kukaa kimya, hasemi, haulizi, hajanuna na mbaya zaidi ameniambia tu kwamba nimwambie "Mariam" kwamba nimesha fika nyimbani.
 
Imeniuma sana Mama mchungaji, na sioni poa kama hiki kiumbe nimekikwaza..😶
Pole sana Baba Mchungaji uzuri hasira zetu Ke huwa zinakwisha yaani haziwaagi ziiile hivyo hapo uwe na moyo wa subira tu yatakaa sawa.
 
Back
Top Bottom