Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.



bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
 
Kuna dini na madhehebu mengine yana ishi kinafiki sana wana fuata hi kauli ...." do what I tell you not what i do".....fanya nalo kuambia usinifuate navyo fanya mimi....hiyo ni religous hypocrisy kwa viongozi wa dini wengi wanao fanya hivo.
 
Hakuna mtu amekataa, kila mzazi ana malengo na maisha ya binti yake, kama nyie mnaona 12yrs inatosha kwa mabinti zenu kuolewa waruhusuni tu tusipigizane kelele, afterall ni binti yako

Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kujua future yake ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuingia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani

Ndoa ni jukumu la kulea mume pamoja na familia. Huyu binti ambae nae anahitaji kulelewa unamuingiza kwenye majukumu makubwa ambayo yanamzidi umri huoni kama ni ukatili?

Hata msichana wa kazi za ndani tu miaka 12 hafai maana utamkuta nae anacheza na watoto hajafanya chochote sembuse kumfanya awe mke
 
Fafanua umejuaje alikuwa na umri huo ?
 

Reference iko wapi mkuu??
 
Fafanua umejuaje alikuwa na umri huo ?
Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
 
Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kuja future yale ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuibgia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani...

Waambie hao wazee wa kukariri...wao wanaoza..huku wanasomesha...kwenye ajira wanalalamika upande wa pili wanapendelewa
 
Wewe una Binti mwenye miaka 12? Je! ungependa naye aolewe mke wa tatu na libabu lenye wajukuu wakubwa kuliko Binti yako au asome?
 
Kwahiyo kelele zote hizi ni mnataka tuone ni sawa kuoa watoto?

Nimesikitika sana kusikia wanaume na watu wazima wanakaa na kuja na maoni eti ni sawa mtoto wa miaka 14 aolewe. Na wewe mleta uzi unaleta hadithi za Na' arah hapa ili kuhalalisha ujinga?

Taifa limejaa watu wa hovyo na wajinga wajinga hili.
 
Mariam yupi huyo huyu mwenye kitambulisho cha nida au??
 
Wapi ukristo umekataza? Ni ustaarabu tu kwa kuwa wakristo ni wasomi. Hata baadhi ya waislam wanaojitambua hawakubali huo ujinga.

By the nyie mmezidi tukiwaachia mnaweza kuoa hata mimba, kama mudi alioa mtoto wa miaka 9 mtashindwaje kuona mtoto wa miaka 14 anafaa kufanywa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…