Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeyapenda macho yako halafu nasikia mijimama inayopenda taarabu inatoa mambo fulani kitaara taarabu ushawahi pewa staili hii mbona utaona dunia yako yote na wewe ni Rais zaidi ya Bush na JK???
Babaubaya ama kweli una kosa mambo...pole
Face painting...................
Nimeyapenda macho yako halafu nasikia mijimama inayopenda taarabu inatoa mambo fulani kitaara taarabu ushawahi pewa staili hii mbona utaona dunia yako yote na wewe ni Rais zaidi ya Bush na JK???
,,,,Hata ka umri umeenda kiasi,lakini MAMAKE linalipa,kaaaah embu fikiria wakati LINAUAWA huwa linakuaje?????:gossip: