JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi amesema kuwa wakina baba nao wamekuwa wakiongoza kuharibu watoto kwa namna hiyo kutokana na kushindwa kulea familia na kugeuka hatari katika familia.
"Dunia imeharibika ndio, ila kina mama pia mtaulizwa mlikuja duniani kuzaa na kulea familia au kushindia kwenye vikundi? jukumu la wote kulea familia ila wakinamama wakipunguza ubize wa vikundi na soga mtaani wataboresha familia kwa sababu jukumu alilopewa na kulea mume wake na watoto wake," amesema