Kwa hatua waliyofikia wakenya, maridhiano hayakuwa na namna yoyote ya kuepukika, hata kama waandamanaji walianza kuleta vurugu kwenye mali za watu, na Kenyatta angepatiapo sababu ya kulaani maandamano, lakini bado kwa tabia za vichwa ngumu za wakenya, kazi kubwa alikuwa nayo ya kuyazuia.