Maridhiano Kenya tunayo ya kujifunza

Maridhiano Kenya tunayo ya kujifunza

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Baada ya wiki 2 za kazi nguvu ya wananchi Ili tamalaki:

Screenshot_20230403-204008.jpg

Wanakwenda mezani kukiwa hayupo mhalifu wa kwenye mapambano.

Fsy9RijaAAEftAU.jpeg

Screenshot_20230403-200307.jpg

Ama kweli Odinga baba lao:

“In view of the foregoing, we stand down our demonstrations for Monday but in doing so we want to emphasise that we reserve the right to call for demonstrations should this process bear no fruit. Should there be no meaningful engagement or response from Hon Ruto to our counter-offer, we’ll resolve to resume our demonstrations after one week."
 
Kwa hatua waliyofikia wakenya, maridhiano hayakuwa na namna yoyote ya kuepukika, hata kama waandamanaji walianza kuleta vurugu kwenye mali za watu, na Kenyatta angepatiapo sababu ya kulaani maandamano, lakini bado kwa tabia za vichwa ngumu za wakenya, kazi kubwa alikuwa nayo ya kuyazuia.
 
Tofauti yetu na wao kwenye hili ni kuwa Kenya wanaridhiana from the point of strength.

Kitisho cha kurejea barabarani kinamweka kila mtu kutambua dharura na umuhimu wa kuyafikia maridhiano yenye tija.

Kwetu tunategemea hisani ya mama. Yaani tunasubiria dodo kwenye mnazi.
 
Back
Top Bottom