Maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini?

Maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini?

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Shekh huyu amesema ni lazima Maridhiano lazima yafanyike na lazima tukubali na hapa si maridhiano ya wanasiasa ninachokisema maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini? Wanasemaje

 
Raia wanasema katiba mpya katiba mpya inasema tume huru tume huru inasema ccm itoke madarakani hapo ndio pagumu labda kwa mbindeeeeee
 
Raia walishasema CCM Ikawafungia vioo
waka react mkawaua maelfu na wengine mkawapa kesi za UHAINI

What more should i say?
Uchaguzi batili
Viongozi wote mpaka rais ni batili
Tufute vyote tuanze upya!

Najua CCM Hawawezi kubali ivo option ni moja tu iliyobaki kwa wananchi
9dec tukutane.
 
Back
Top Bottom