Raia walishasema CCM Ikawafungia vioo
waka react mkawaua maelfu na wengine mkawapa kesi za UHAINI
What more should i say?
Uchaguzi batili
Viongozi wote mpaka rais ni batili
Tufute vyote tuanze upya!
Najua CCM Hawawezi kubali ivo option ni moja tu iliyobaki kwa wananchi
9dec tukutane.