Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
CCM kwa uroho wao wa madaraka wanadhani maridhiano ni ushujaa! Penye haki hakuna maridhiano, hili ndilo CCM wasilolijua! Kilichofanyika Zanzibar ni kurudisha nyama kwenye sinia la pilau ili waote mfaidi, pongezi kwa mroho kujitambua na kujirudi.
KWENYE HAKI HAKUNA MARIDHIANO.
KWENYE HAKI HAKUNA MARIDHIANO.