Maridhiano ni udhaifu unaotokana na uroho

CCM ni mayahudi wetu. Inakuwaje ufanye maridhiano na watu waliokukosea ambao hawajakubali makosa Yao wala kuomba radhi kwanza? CCM ni nyoka wabaya sana na ni vinyonga
 
CCM ni mayahudi wetu. Inakuwaje ufanye maridhiano na watu waliokukosea ambao hawajakubali makosa Yao wala kuomba radhi kwanza? CCM ni nyoka wabaya sana na ni vinyonga
Tatizo la CCM ni kudhani kila kitu ni chao pamoja na kodi tunazolipa ambazo wao hawatambui ulipaji wetu badala yake wanasema pesa za Samia! Ni waroho kuliko mchwa wadudu hawa.
 
Kazi yao ni KUUA, KUTEKA, KUPORA, KUFIRA, na kuiba kura, wakimaliza unaitwa NJOO TURIDHIANE.

Yaani CCM ni AFADHALI kuliko ACT.

ACT ni GENGE LA MATAPELI MANAFIKI.
 
Kazi tao ni KUUA, KUTEKA, KUPORA, KUFIRA, na kuiba kura, wakimaliza unaitwa NJOO TURIDHIANE.

Yaani CCM ni AFADHALI ACT.

ACT ni GENGE LA MATAPELI MANAFIKI.
Tusubiri kuona malidhiano mengine ya kulidhiana malidhiano waliyolidhiana.
 
Mimi ningeshauri CHADEMA ifanye maridhiano na kupitia hayo itapata fursa zaidi ya kujiimaarisha,
Kwanza h

Wqcha twende hivi hivi mbona waliomba sana hata uchaguzi kuahilishwa lakini ccm hawakutaka kusikia kamwe maana walijua wachopanga sasabmtu wa hivyo sio wa kumuamini kamwe kwenye makubaliano yoyote
 
Kazi yao ni KUUA, KUTEKA, KUPORA, KUFIRA, na kuiba kura, wakimaliza unaitwa NJOO TURIDHIANE.

Yaani CCM ni AFADHALI kuliko ACT.

ACT ni GENGE LA MATAPELI MANAFIKI.
Walitakiwa wajue kuwa hayo maridhiano ni kwa vyama na wazanzibari wote badala ya CCM na ACT. Hautapita muda tutashuhudia mfarakano ambao ACT itanyooshewa vidole, kaa mbali na CCM, wananuka.
 
Walitakiwa wajue kuwa hayo maridhiano ni kwa vyama na wazanzibari wote badala ya CCM na ACT. Hautapita muda tutashuhudia mfarakano ambao ACT itanyooshewa vidole, kaa mbali na CCM, wananuka.
Act wamepotea vibaya sana huyu kiongozi wao wa sasa huko na Jusa washawqpelekq wenzao machinjioni kusikoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…