Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano

Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo watu wengi wanailalamikia

Kwa hiyo dhana ya maridhiano ya vikao haina tija kwa nchi na kamwe haitaweza kuiponya nchi kwenye haya madhila iliyopitia
 
Samia aneshajihalibia sana. Hana Jia tena ya kurekebidha na kujisafisha. Kiburi kimemfikisha hapa. Kwa jinsi anavyoendelea atajigaribia zaidi.

Ushauri wangu;
Kwanza, Badala ya kuendelea kufanya mambo as if it is business as usual aanze kutake action immediately. Haya mambo ya kuja na statement ya tumedhamilia hayatamsaidia.

Pili ajidistance kabisa na Kikwete.

Tatu, aanze kuangalia nafsi yake na future yake. Kazima kuna watu itabidi wawe sacrificed. Watu kama Muliro na Mafwele lazima waliwe vichwa mara moja. IGP pia.
 
Haya yote yanatokea kwasababu ya ccm, ccm ikihusishwa lazima hio katiba mpya iwe mbovu
Huu ni ukweli lazima iwe mbovu angalia tume hii uchaguzi tunaambiwa ni tume huru ila ni tume mbovu kuliko zote

Lakin ajuaye kesho mimi naamini tutakuwa na katiba mpya ila itachukua mda
 
Samia aneshajihalibia sana. Hana Jia tena ya kurekebidha na kujisafisha. Kiburi kimemfikisha hapa. Kwa jinsi anavyoendelea atajigaribia zaidi.

Ushauri wangu;
Kwanza, Badala ya kuendelea kufanya mambo as if it is business as usual aanze kutake action immediately. Haya mambo ya kuja na statement ya tumedhamilia hayatamsaidia.

Pili ajidistance kabisa na Kikwete.

Tatu, aanze kuangalia nafsi yake na future yake. Kazima kuna watu itabidi wawe sacrificed. Watu kama Muliro na Mafwele lazima waliwe vichwa mara moja. IGP pia.
Tatizo sio la muliro na mafwele ila mafaraka makubwa sana aliyokuwa nayo Rais
 
No hata hawa implementers ni tatizo. Hawezi kufanya peke yake. System ikianguka lazima waanguke nayo. Samia hawezi kubebeshwa zigo lote peke yake. Hii design ya akina Mafwele na Murilo lazima waunganishwe naye.
 
Tatizo lilianzia pale mahita alipomdhalilisha mrema ndo akapandishwa cheo ile mbegu ndo mpaka leo inatutesa
 
Back
Top Bottom