Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ndo maana tunahitaji katiba mpya mpya ili haya mambo yasijirudieTunaridhiana na nani?? Kwenye nini?? Zile maiti itakuaje? Ziko wapi? Wawelete Polisi, Wavunje Polisi, IGP na nafasi nyingine ziwe za kuomba na kuwa interviewed
Katiba ndo inatakiwa kuwabanaIssue ni kutrain mindset za MCC ziwe na utu na wajue kuwa nchi sio Yao pekeyao
Lakin kumbuka utunzi wa katiba unahusisha bunge na 98 ya bunge ni hao wana CCM unadhani hyo katiba itakua favoured kwetu uenda ndo ikawa so harsh kwetuNdo maana tunahitaji katiba mpya mpya ili haya mambo yasijirudie
Sio lazima utunzi wa katiba uhusishe ccmLakin kumbuka utunzi wa katiba unahusisha bunge na 98 ya bunge ni hao wana CCM unadhani hyo katiba itakua favoured kwetu uenda ndo ikawa so harsh kwetu
Um-train shetani? Aagh wapi, shetani ni kumuuaIssue ni kutrain mindset za MCC ziwe na utu na wajue kuwa nchi sio Yao pekeyao
Hatari iliyopo ni ccm watakuja na katiba mpya mbovuKatiba isipo badilishwa ikawa mpya mpya hakuna tunakoelekea na kwambia
Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano
Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu
Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo watu wengi wanailalamikia
Kwa hiyo dhana ya maridhiano ya vikao haina tija kwa nchi na kamwe haitaweza kuiponya nchi kwenye haya madhila iliyopitia
Hatari iliyopo ni ccm watakuja na katiba mpya mbovu
Huu ni ukweli lazima iwe mbovu angalia tume hii uchaguzi tunaambiwa ni tume huru ila ni tume mbovu kuliko zoteHaya yote yanatokea kwasababu ya ccm, ccm ikihusishwa lazima hio katiba mpya iwe mbovu
Tatizo sio la muliro na mafwele ila mafaraka makubwa sana aliyokuwa nayo RaisSamia aneshajihalibia sana. Hana Jia tena ya kurekebidha na kujisafisha. Kiburi kimemfikisha hapa. Kwa jinsi anavyoendelea atajigaribia zaidi.
Ushauri wangu;
Kwanza, Badala ya kuendelea kufanya mambo as if it is business as usual aanze kutake action immediately. Haya mambo ya kuja na statement ya tumedhamilia hayatamsaidia.
Pili ajidistance kabisa na Kikwete.
Tatu, aanze kuangalia nafsi yake na future yake. Kazima kuna watu itabidi wawe sacrificed. Watu kama Muliro na Mafwele lazima waliwe vichwa mara moja. IGP pia.
Tatizo sio la muliro na mafwele ila mafaraka makubwa sana aliyokuwa nayo Rais
Tatizo lilianzia pale mahita alipomdhalilisha mrema ndo akapandishwa cheo ile mbegu ndo mpaka leo inatutesaNo hata hawa implementers ni tatizo. Hawezi kufanya peke yake. System ikianguka lazima waanguke nayo. Samia hawezi kubebeshwa zigo lote peke yake. Hii design ya akina Mafwele na Murilo lazima waunganishwe naye.
Huwezi kuubadilisha mti wa muarobaini kuwa muembe kwa kuuita tu "mti wa muembe 😂"Huu ni ukweli lazima iwe mbovu angalia tume hii uchaguzi tunaambiwa ni tume huru ila ni tume mbovu kuliko zote
Lakin ajuaye kesho mimi naamini tutakuwa na katiba mpya ila itachukua mda
Nani atatengeneza safina, tumwachee mashetaniUm-train shetani? Aagh wapi, shetani ni kumuua