Maridhiano Zanzibar yatalainishwa na donge nono toka Tanganyika!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika.

Katika muktadha wa sasa ambapo rais anatoka huko na watanganyika wazalendo hawana sauti ni kipindi cha machawa pro wapemba wanaenda kumegewa donge kubwa toka Tanganyika ili wapozwe na Zanzibar itulie kwa gharama ya kuikamua Tanganyika.
 
ok. :1Head:
 
Back
Top Bottom