please mwenye kufahamu course ya mambo yanayohusu "marine engenering" anijuze,inatolewa wapi apa bongo,ada yake na inafundishwa kw kpnd gani,i mean time taken.
mara ya mwisho nimesikia habari za hiki chuo ni miaka 15 iliopita rafiki yangu alikuwa anasoma hapo,kilikuwa [kinaitwa] DAR ES SALAAM MARITIME INSTITUTE kilikuwa karibu na kituo cha kupandia boti za za kwenda Zanzibar mkabala na St. Joseph Church.
halafu unajua chanzo cha jina kishitobe ?? wewe kweli unapenda ubaharia,hio ilikuwa meli fulani hivi nafikiri ya kijapan iltia nanga hapo bandarini mv kishitobe......
Chief Nenda DMI
Kama Alivyodokeza Chief Hapo Juu
Ukitokea Ikulu Kipo Posta Ya Zaman
Mbele Kidogo Kuna Kitua Cha Meli Za Abiria Wanaoenda ZANZIBAR N.k
Ulizia Mtu Yeyote Atakuonesha
Ahsante
Jigo