Marine course

Marine course

kishitobe

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
30
Reaction score
5
please mwenye kufahamu course ya mambo yanayohusu "marine engenering" anijuze,inatolewa wapi apa bongo,ada yake na inafundishwa kw kpnd gani,i mean time taken.
 
Natafuta chuo kinachotoa kozi za uwanamaji hapa Bongo. Mwenye kufahamu naomba anisaidie please.
 
Natafuta chuo kinachotoa kozi za uhanamaji apa bongo,mwenye kufahamu naomba anisaidie please

mara ya mwisho nimesikia habari za hiki chuo ni miaka 15 iliopita rafiki yangu alikuwa anasoma hapo,kilikuwa [kinaitwa] DAR ES SALAAM MARITIME INSTITUTE kilikuwa karibu na kituo cha kupandia boti za za kwenda Zanzibar mkabala na St. Joseph Church.
 
Natafuta chuo kinachotoa kozi za uhanamaji apa bongo,mwenye kufahamu naomba anisaidie please

halafu unajua chanzo cha jina kishitobe ?? wewe kweli unapenda ubaharia,hio ilikuwa meli fulani hivi nafikiri ya kijapan iltia nanga hapo bandarini mv kishitobe......
 
Last edited by a moderator:
Chief Nenda DMI
Kama Alivyodokeza Chief Hapo Juu
Ukitokea Ikulu Kipo Posta Ya Zaman
Mbele Kidogo Kuna Kitua Cha Meli Za Abiria Wanaoenda ZANZIBAR N.k
Ulizia Mtu Yeyote Atakuonesha
Ahsante
Jigo
 
Au muhulize ZE BIG SHOWE LE BABAZI LE MUTUZI kasomea hayo mambo mkuu.

swissme;
 

Phone: +255 22 213 3645
Fax: +255 22 211 2600 - click to view
Email: dmi83@hotmail.com


dmi.png
 
Mkubwa PRONDO nimekusoma ! nilikuwa cjui maana ya kishitobe kumbe ni meli ya japan,binafsi napenda xana izo ishu!
 
mtafut jamaa mmoja facebook anaitwa Le Mutuz Baharia, huyu ni rais wa mabaharia duniano, amekaa kwenye meli miaka 25 akifanya field.
 
Back
Top Bottom