Elections 2010 Marine Hasan amtangaza Kikwete mshindi wa urais

Elections 2010 Marine Hasan amtangaza Kikwete mshindi wa urais

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba watakuwa wanashindana nani apate kura nyingi. Hivi hii TBC inamwakilisha nani? ni ya taifa au ya CCM? kweli safari yetu ndefu na NEC watakaa kimya kwa hili pia
 
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.

Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa!
 
Hawa wote wanafiki wanaamini kuwalamba miguu watawala ndo wataishi vizuri..
Wanasahau umuhimu wao kwa Taifa hili....
 
Ongezea na hii mkuu wa usalama wa taifa =ccm
 
Marine is a stouge hana elimu hana uwezo hana ujuzi, kinachoniudhi ni hivi vyama vya utetezi wa demokrasia kwa nini havifanyi lolote? kwa sababu hili tu linatosha kuweka malalamiko na kudai Marine na Tido wake wote wasimamishwe kazi tuone kama atakwenda kula Ikulu kwa kikwete, pili Media Council of Tanzania inafanya nini? yaani nchi nzima hakuna mwenye maamuzi watu tumelogwa na nani? hii kusema tu haitusaidii na lazima vyama vya upinzani waweke watu wao wakina Tundu Lisu wanasheria wasiotaka mchezo wa deal na huu uchafu wa huko TBC kwa nin kodi zetu zichezewe hivyo? Juzi wananchi wa kenya wametoka barabarani kukataa upumbavu wa wabunge wao kujiongezea mshahara sisi tunafanywa kitu cha ajabu tunaona sawa tuna nini jamani? its very frustrating, wasomi wako wapi? wanafunzi wa vyuo wako busy kujikomba na sasa mpaka wanamuda wa kushindana kwa urembo hivi urembo ndio kazi ya vyuo vyetu vikuu siku hizi sio talents? Siamini kabisa kwamba huko ndiko tulikofika halafu tunataka kushindana na wakenya walio serious nakwamba watanzania na wanafunzi wa mbio za kampeni, u miss na mashindano ya pool ya safari larger, watasoma mpaka wapate Phd lakini wataishi kuajiriwa kama ma clearners na primary school leavers wa kenya, uganda, somalia n.k huwezi kupanda upuuzi ukategemea kuvuna maisha bora. Hizo ndio products za shule za kata
 
Bado REDET, SYNOVATE, SHEIKH YAHYA, MAKAMBA,.....Haya tuzoee tu kuyasikia kwa miezi hii mitatu.
 
Jamani naichukia sisiem although I have their membership card niliyosisitizwa kuwa nayo nilipokuwa nikifanya kazi ndani ya halmashauri fulani:teeth:
 
Sishangai ndo hali ilivyo,
vibaraka wa chama chao kazi yao ni kufagilia tu,
hata wakifika ****** kwenye kinyesi wao wanapata harufu ya keki.
Hata Kenya ilikuwa hivyo, ikaja bana zile saa nzuri ilipoonekana Mwai Kibaki anaongoza dhidi ya Kanu ndipo ghafla wimbo wa Kanu yajenga nchi ulipoisha. Tuombe Mungu awaumbue Oktoba Chadema ikamate nchi, huyo huyo Marini ataanza kuisifia Chadema.
.
 
Ananikumbusha KBC wakati ule wa utawala wa KANU. Kuna mtu kule alikuwa anaitwa Lenad Mambo Mbotela aliyejitahidi kwa nguvu zake zote kuibeba KANU. Nilimhurumia sana kwani yeye yeye alipewa kazi ya kutangaza sherehe za kuapishwa kwa Kibaki! Sitaki kukumbuka alivyokuwa na wakati mgumu. I believe hata kama sio mwaka huu lakini siku CCM wanadondoka Marine atapewa kazi ya kuripoti kuapishwa kwa raisi mpya...
 
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.

Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa![/QUOTE]

Mkuu Asprin No!!!!!!

Hapana tusiwazilie nchi twende tukapige kura hata huko unakofikiri wanaongoza wapo watanzania wachache wenye uchungu.

Si unakumbuka shuleni? Usipoandika kitu mwalim hakupi chochote lakini ukiandika hata madudu unapewa angalau maksi kiasi fulani.

Imewezekana sehemu zingine hata Tanzania inawezekana, play your part Mr. Slaaa anaweza kushinda na tukabadili siasa za Tanzania.

Concerned citizen

NN
 
Jamaa huwa linataka kunitapisha chai asubuhi kila likijitokeza kwenye runinga.

Acha tu, hakuna siku kaniboa huyu jamaa kama leo.. lakini sishangai ni wale wale wachumia tumbo, anajaribu kujiweka karibu, ole wao!!!!!!iko siku watajibu yote haya..
 
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.

Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa!

Wakuu wa mikoa wanataka kugombea ubunge wameshaona ukuu wa mkoa sio dili tena hao wote ni ccm.
wakuu wa majeshi nao wangombee ubunge wakapate sehemu ya kula nyama choma kule dodoma wote hao ni ccm,
wakuu wa polisi nao pia wanalwenda kugombea ubunge wakale good time kule chamwino wameshafanya kazi nzuri ya kusambaratisha upinzani.
kazi kwelikweli.
Lakini uniambie utakuwa baa gani kwasababu na mimi nitakuwa baa full time habari zote atanieleze mke wangu asubuhi siyo usiku maana nitapoteza usingizi wangu bure.
nina kazi nyingi za kufanya.
Pole sana rafiki,hii ndio Tz.:scared:
 
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.

Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa!


Umenena Asprin
 
CCM inashindika swala la msingi ni lazima upinzani upate ushindii wa kishiindo, kama Kenya walivyombwaga Uhuru Kenyata.
 
jamani fursa ndio hii, hakuna lisilowezekana... wote wanaouchukia ufisadi kwa dhati acheni visingizio twendeni tukampigie kura Dr. W. Slaa mpambanaji wa kweli wa ufisadi hapa nchini na hayo mengine yataamuliwa na jumla ya kura zetu....

tuushinde huu ugonjwa wa kulalamika miaka mitano, fursa ya uchaguzi ikija unasikia mtu anansema "eti atashinda baa:!!.. tubadilike, kama ni mabadiliko tutayaleta wenyewe! tuamke sasa!
 
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.

Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa!

Umesahau kupindi cha JAHAZI 88.4:lol:
 
It is a great piti.....
hivi huyu ankali ni mtanzania? mie nilidhani mkenya! nani anaijua historia yake kwa ufupi atujuze ili tuone kama ana uwezo wa kujadilika katika forum ya wasomi km hili.....maana asitupotezee muda...TBC 1 ina mesi apu sana sijui kaliba ya watendaji wake ikoje..bado tuna safari ndefu kajisemea mwakyembe.....
shame upon them

mix with yours
 
kumbuka ballot box ndio namna pekee ya kuondoa uongozi usiofaa na kusimika ule unaofaa. si vema watanzania kususia uchaguzi kwani huwezijua... mabadiliko yote katika nchi za jirani; kenya, zambia, malawi na msumbiji yamefanywa kwa mtindo wa ballot papers. hivyo tuamini kwamba kuna siku watendaji hao watakuwa waaminifu kwa mwajiri wao halisi ambaye ni mtanzania mlipa kodi.
 
Back
Top Bottom