Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Marine led pen alisitisha mkutano na mufti mkuu wa nchini Lebanon baada ya kukata kujistiri kichwa kwa kuvaa hijabu mwaka 2017.
Kipindi icho marine alikuwa ni mgombea wa kiti cha uraisi nchini ufaransa alikwenda nchini Lebanon kufanya mkutano kwa lengo la kupata kura kutoka kwa raia wenye uraia pacha yani franco-lebanese.
Marine aliwaambia waandishi wa habari kwamba ameshangazwa na vigezo Alivyo ambiwa, aidha mufti mkuu wa Lebanon alisema walimpa taarifa kabla ya mkutano kuna swala la kuvaa hijabu.
Le pen alisema alishakutana na mufti wa Al-Azhar alivyotembelea nchini misri bila kuvaa hijabu.
Kiongozi wa sunni nchini Lebanon Mufti abdel latif Derian, aliwaambia CNN kuwa Le pen alipewa taarifa kabla ya mkutano na ndio kilikuwa kigezo kikuu cha kufanyika mkutano huo.
Ikumbukwe kuvaa burqa na niqab kwa wanawake wa kiislam kwa kuficha sura na kichwa chote ulipigwa marufuku nchini ufaransa kwa maeneo ya umma mwaka 2011, na viashiria vya udini katika shule vilipigwa marufuku mwaka 2004.