Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya

  • Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma
  • Chunusi
  • Psoriasis
  • Inasaidia follicles za nywele kukua
  • Hurudisha Utumbo Uliojikunja
  • Inaua Bakteria
  • Inaua Fangasi aina ya Mould
  • Inaondoa fangasi aitwaye candida yeast
  • Husaidia ktk usagaji chakula (digestion)
  • Ina Madini Mengi kama magnesium, potasiamu na kalsiamu. Madini haya ni muhimu kwa kazi nyingi za mwili, kama vile afya ya mifupa, afya ya moyo na mishipa, na kudumisha mfumo mzuri wa neva
  • Kama Huwa hupati usingizi nusu saa kabla ya kulala kunywa mani ya uvuguvugu yenye chumvi ya baharini , kisha weka alarm kabisa ili ikuamushe

ILA LEO WATU WANA MATUMIZI MAKUBWA NA CHUMVI ZA VIWANDANI AMBAYO IMEULIWA
1738366398204.jpg
VITU VINGI
 
PWEZA(OCTOPUS) Ni kiumbe wa baharini anayejulikana kwa kuwa na mikono nane(eight arms) moyo mitatu(three hearts)ubongo tisa(nine brains) na damu ya blue(blue blood)na hana mfupa hata moja(boneless)ndani ya mwili wake hii inamsaidia kupita kwenye sehemu finyu Sana mfano anaweza akapita kwenye tundu dogo mfano wa sarafu.

Pweza Ana wino ambao anautoa pale anapokutana na adui ili kumkwepa.

PWEZA anauwezo wa kubadirisha rangi ya mwili wake Kama kinyonga na akafanana na mazingira aliyopo kuwakwepa adui au kutafuta chakula.Kuna Aina moja ya pweza anaitwa Mimic Octopus anauwezo wa kulibadil
1738366766827.jpg
i umbo lake na kufanana na viumbe wengine wa bahari ili kuwakwepa adui mfano anaweza akajibadili akaonekana Kama nyoka wa baharini(Sea snake)au flat fish au taa(stingray) au Jellyfish au squid au stone fish.
 
🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya

  • Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma
  • Chunusi
  • Psoriasis
  • Inasaidia follicles za nywele kukua
  • Hurudisha Utumbo Uliojikunja
  • Inaua Bakteria
  • Inaua Fangasi aina ya Mould
  • Inaondoa fangasi aitwaye candida yeast
  • Husaidia ktk usagaji chakula (digestion)
  • Ina Madini Mengi kama magnesium, potasiamu na kalsiamu. Madini haya ni muhimu kwa kazi nyingi za mwili, kama vile afya ya mifupa, afya ya moyo na mishipa, na kudumisha mfumo mzuri wa neva
  • Kama Huwa hupati usingizi nusu saa kabla ya kulala kunywa mani ya uvuguvugu yenye chumvi ya baharini , kisha weka alarm kabisa ili ikuamushe

ILA LEO WATU WANA MATUMIZI MAKUBWA NA CHUMVI ZA VIWANDANI AMBAYO IMEULIWA View attachment 3220571VITU VINGI
hivi ile wanayotumia wazee kulumangia na tumbaku ni chumvi ya baharini pia gentleman?

wazee bana,
halafu wakimakiza kula hiyo tumbaku mchanganyiko na chumvi wanaweka juu ya skio kwajili ya baadae dah 🐒
 
Back
Top Bottom