Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Tumuulize kiranga, au ye Yuko kijijini huko🤣🤣Bodaboda wa Marekani hawapigi?
Roma kurudi ama kurudishwa na ICE baada ya Mange kumchongea?Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.
Pia amedai roma kurudi bongo
Anarudi mwenyewe, kuendelea na maisha yake
OkayAnarudi mwenyewe, kuendelea na maisha yake
😂 Angetuambia wanapiga ngoma za nchi ganiBodaboda wa Marekani hawapigi?
GT hako ka P-visa kanamuwasha Marioo hajui kuna vizito kama nyie mmeshanaturalize, Florida mitaa yenu ya kujidai.
Yupo New York City uyo. Ukitaka habari za uko mcheki, sisi uku tupo nyuma sana.Tumuulize kiranga, au ye Yuko kijijini huko🤣🤣
Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.
Pia amedai roma kurudi bongo
Anarudi mwenyewe, kuendelea na maisha yake
Watanyonga wallah akirudi. Asifanye kosa la Polepole haya majamaa hata utu hata chembe.
Ok nikitoa nyimbo yangu Moja ya kwanza iki hit tutaanda ziara na SISI, atatupokea, labda atukimbie🤣🤣Yupo New York City uyo. Ukitaka habari za uko mcheki, sisi uku tupo nyuma sana.
Ningemshauri aongee kwanza na baba yetu mlezi Mzee jakaya mrisho kikwete huyu ni baba wa wasanii wote bongo, hivo aongee nae tu mbona lema alichonga nae yakaisha akarudiWatanyonga wallah akirudi. Asifanye kosa la Polepole haya majamaa hata utu hata chembe.
ok.Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.
Pia amedai roma kurudi bongo

Inawezakana hata hawaifaham nchi inaitwa Tanzania. Angalau Kenya Ina jina kubwa kiasiMario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.
Pia amedai roma kurudi bongo
Mr gentleman
Watu wanadai shida lugha, mbona SISI tunaimba nyimbo za kihindi na hatujui maana? Nadhani promo tuInawezakana hata hawaifaham nchi inaitwa Tanzania. Angalau Kenya Ina jina kubwa kiasi