Mario: marekani bongo fleva haipigwi kabisa bado tuna safari ndefu, roma kurudi bongo

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.

Pia amedai roma kurudi bongo
 
Attachments

  • Screenshot_20261007-155046.jpg
    49.9 KB · Views: 9
Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado.

Pia amedai roma kurudi bongo
Roma kurudi ama kurudishwa na ICE baada ya Mange kumchongea?

mshamba_hachekwi
 
Anarudi mwenyewe, kuendelea na maisha yake
Roma kurudi ama kurudishwa na ICE baada ya Mange kumchongea?

mshamba_hachekwi
Watanyonga wallah akirudi. Asifanye kosa la Polepole haya majamaa hata utu hata chembe.
 
Watanyonga wallah akirudi. Asifanye kosa la Polepole haya majamaa hata utu hata chembe.
Ningemshauri aongee kwanza na baba yetu mlezi Mzee jakaya mrisho kikwete huyu ni baba wa wasanii wote bongo, hivo aongee nae tu mbona lema alichonga nae yakaisha akarudi
 
Inawezakana hata hawaifaham nchi inaitwa Tanzania. Angalau Kenya Ina jina kubwa kiasi
Watu wanadai shida lugha, mbona SISI tunaimba nyimbo za kihindi na hatujui maana? Nadhani promo tu
 
Hata ungekua wewe ndo mzungu ungepiga ngoma za Nye gwedegwede?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…